Pages

  • Latest News

    Monday, 28 November 2016

    FAHAMU MAANA, DALILI NA MATIBABU YA UGONJWA WA AMOEBA



    Huu ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Ectamoeba Histolika ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu.

    NJIA ZA KUPATA

    kula matunda bila kuosha

    kutokunawa mikono baada ya kutoka chooni

    kula chakula bila kuosha mikono

    kunywa maji yasiyochemshwa

    WATU AMBAO WAPO HATARI KUPATA HAYA MARADHI NI;

    Wasafiri

    Mashoga

    Wanafunzi

    wafanya biashara sokoni

    Huanza kupata maradhi pale ambapo unakunywa au kula kitu ambambo kimechanganyika na hawa bacteria kisha wanaenda katika utumbo mdogo wanazaliana kuwa mwengi baadaye wanashuka katika utumbo mkubwa na kuanza kushambulia mwili. wakikua huishi katika kinyesi cha binadamu kisha hutolewa kwa njia ya haja kubwa na kuishi katika artdhi kwa muda wa wiki nne.

    DALILI ZAKE
    Tumbo kuuma kwa chini

    kuharisha choo kilichochanganyika na kitu kama kamasi

    kupungua uzito

    homa

    utumbo mkubwa kutanuka

    MATIBABU

    Iodoquinol hutumika kuuwa cyst

    Metronidazole, Tinidazole hizi ni ant biotics ambazo hutumika kuuwa hawa wadudu

    Kuwekewa drips kama mtu ameharisha sana ili kuhakikisha anapata maji na madini aliyopoteza
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: FAHAMU MAANA, DALILI NA MATIBABU YA UGONJWA WA AMOEBA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top