http://www.youtube.com/watch?v=5lmglgmyHbU&feature=player_embedded
Wednesday, 12 March 2014
Tuesday, 11 March 2014
GAZETI LA MWANANCHI LAMUOMBA RADHI RAIS KIKWETE
23:30
Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa Rais Jakaya Kikwete aliwatembea wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifu...
LOWASSA AKANA KUHUSIKA NA NOTI
20:49
Waziri Mkuu aliyejiuzuru, Edward Lowassa, amekanusha kuhusika na noti zenye thamani ya shilingi 500/= ambazo zinaonyesha sura yake sehemu in...
Monday, 10 March 2014
Simba, Yanga zimeshindwa kuvuka mipaka
00:33
KUTOKANA na mfumo wa kisoka duniani, Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA), limehakikisha kila nchi ina ligi kuu ya soka inayoshindanisha ...
Dhana na maana ya Bunge Maalumu la Katiba
00:30
BUNGE Maalumu la Katiba (constituent assembly) ni chombo mahsusi cha wananchi cha kutunga Katiba yao. Katika falsafa za kisiasa na kikatib...
MAONI YA MHARIRI Katika hili CCM, CHADEMA wanalidhalilisha Taifa - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/katika-hili-ccm-chadema-wanalidhalilisha-taifa#sthash.BbIlOMu0.dpuf
00:27
Kumbukumbu za majadiliano ya Bunge (Hansard), za Mkutano wa Sita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Aprili 25-28, 1977, Waziri M...
Sunday, 9 March 2014
KURA YA SIRI, WAZI KAA LA MOTO BUNGE LA KATIBA
01:49
Mjumbe wa Bunge maalumu la Katiba, Chritopher Ole Sendeka akichangia hoja Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa kati...
Saturday, 8 March 2014
Matukio katika picha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar
20:55
Wanawake wanaowakilisha Wizara ya Maliasili na Utalii wakipita mbele ya mgeni rasmi katika uwanja wa Mwembe-yanga.
MAELEZO YA MHE. SOPHIA M. SIMBA (MB.) WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, KATIKA UKUMBI WA HABARI MAELEZO, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 07 MACHI, 2014
20:50
UTANGULIZI Ndugu zangu; Wanahabari; Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima mpaka kufik...
KAULI MBIU YA SIKU YA WANAWAKE MWAKA 2014
20:46
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto inawataarifu wanaanchi wote kuwa Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mwaka...
HIZI NDIZO NJIA UKIMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE DUNIANI ATAKUPENDA DAIMA!!
20:32
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvuti...
NDEGE YA MALAYSIA YAPOTEA NA ABIRIA 239
11:22
Juhudi za kimataifa zinaendelea kutafuta ndege aina ya Boeing 777 ya shirika la ndege la Malaysia iyokuwa ikielekea Beijing nchini China na ...
Subscribe to:
Comments (Atom)










