Mjumbe wa Bunge maalumu la Katiba, Chritopher Ole Sendeka akichangia hoja Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri. Habari kutoka katika kikao cha ndani cha Chama Cha Mapinduzi...
KURA YA SIRI, WAZI KAA LA MOTO BUNGE LA KATIBA
Mjumbe wa Bunge maalumu la Katiba, Chritopher Ole Sendeka akichangia hoja Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri. Habari kutoka katika kikao cha ndani cha Chama Cha Mapinduzi...

0 comments:
Post a Comment